Wakaazi Chemolingot waandamana kushtumu mauaji

Wakazi wa eneo la chemolingot katika kaunti ya baringo, wamewapa maafisa wa usalama katika eneo hilo siku mbili kuwakamata wauaji wa wanasiasa wawili katika eneo hilo la sivyo wachukue hatua mikonono mwao.   Wakazi hao wanadai kuwa wanafahamu fika wauaji wa  mwakilishi wa wadi ya loyamorok, kibet cheretei na mwaniaji kiti cha ubunge cha tiaty pepee kitambaa, na kwamba iwapo polisi hawatowajibika basi watachukua hatua mikononi mwao.

latest stories