Usajili wa wafungwa

Usajili wa wapigakura katika magereza ya humu nchni utaanza hapo kesho huku tume ya iebc ikiwalenga takriban wafungwa elfu kumi. Shughuli hiyo ambayo ilifaa kuanza leo ilisitishwa ili kutoa nafasiya mashauriano kuhusu jinsi mpango huo utaandaliwa kama anavyoripoti sam Gituku.

latest stories