Kiongozi wa ODM aendeleza ziara yake, Malava
Published on: September 08, 2016 08:35 (EAT)
Audio By Vocalize
Kiongozi wa Odm Raila Odinga ametoa changamoto kwa viongozi kutoka chama hicho ambao wanaazimia kukigura chama hicho na kujiunga na chama kipya cha jubilee mwishoni mwa juma kufanya hivyo haraka akisema kwamba, nafasi zao hazitakawia kabla ya kujazwa. Akizungumza katika eneo bunge la malava ambako amefanya ziara yake kwa siku ya nne mfulilizo katika kaunti ya Kakamega, Raila aidha ameendelea kuikashifu serikali ya jubilee kuhusiana na fedha za eurobond.


Leave a Comment