Mwanafunzi auliwa katika shule ya upili ya Dagoretti, Nairobi
Published on: September 21, 2017 08:56 (EAT)
Audio By Vocalize
Kwa kawaida ni furaha ya mzazi pale unapompeleka mtoto wako shuleni akapate elimu ya dunia ukijuwa fika kwamba hiyo ndio tegemeo lake siku za usoni, lakini kwa familia moja hapa jijini Nairobi ilipata pigo baada ya mwanao kutoka shule ya upili ya Dagoretti kufariki hapo jana huku familia sasa ikitaka haki itekelezwe na aliyetenda kitendo hicho kufunguliwa mashtaka.


Leave a Comment