Mwombaji wa kitamaduni
Published on: December 02, 2017 08:57 (EAT)
Audio By Vocalize
Mzee Stephen Oruma Nkaru hualikwa katika siku kuu za kitaifa kama vile siku ya Jamhuri, Mashujaa, Madaraka Dei kuomba. Halfla ya hivi punde ilikuwa siku ya kuwaapisha rais uhuru Kenyatta na naibu wake William ruto kuchukua hatamu za uongozi kwa awamu ya pili. Kwa nini serikali humwalika mzee huyu wa jamii ya wamaasai kuongoza maombi katika mikutano mikuu? Nancy Chepkoech alimtembelea nyumbani kwakwe kijijini Ilbisil kaunti ya Kajiado na kuandaa makala ifuatayo


Leave a Comment