Rais apeleka kampeni Narok
Published on: June 09, 2017 08:04 (EAT)
Audio By Vocalize
Rais Uhuru Kenyatta amesema kwamba serikali haitaruhusu mtu yoyote kuwagawanya wakenya au kuharibu mali ya mtu mwengine rais, pia, amesema kwamba Kenya itaendelea kupambana na ugaidi. kadhalika rais aliongoza mkutano wa kampeni za Jubilee katika kaunti ya Narok.


Leave a Comment