Soko La Nyayo Eneo La Ngara Lateketezwa Na Moto
Published on: December 21, 2014 07:02 (EAT)
Audio By Vocalize
Wafanyibiashara kwenye soko la Nyayo eneo la Ngara, hapa jijini Nairobi, wanakadiria hasara baada ya moto kuteketeza mali yenye thamani ya maelfu ya fedha. Mkasa huo uliotokea mwendo wa saa kumi na nusu alfajiri, ulipelekea juhudi za wafanyibiashara hao pamoja na wazima moto waliokuja baada ya masaa mawili kuuzima. Na kama anavyotuarifu Mbaruk Mwalimu hakuna majeruhi walioripotiwa.


Leave a Comment