Ukame wakithiri Kajiado
Published on: December 01, 2017 08:57 (EAT)
Audio By Vocalize
Licha ya mvua kuendelea kunyesha katika maeneo mengi humu nchini, Kajiado ya kati ukame ungali unawaathiri wakazi hasa wafugaji. Mifugo wanakufa ovyoovyo kwa kukosa lishe na maji huku idara ya kukabiliana na majanga nchini ikionya kuwa huenda hata binadamu wakaangamia iwapo hali hiyo itandelea.


Leave a Comment