Viongozi wa Jubilee kutafuta suluhu ya mgogoro kati ya Sonko na Igathe
Published on: January 13, 2018 08:05 (EAT)
Audio By Vocalize
Siku moja baada ya taifa kutikiswa na taarifa za kujiuzulu naibu gavana wa Nairobi Polycarp Igathe, juhudu za kuwapatanisha wawili hao zimeanza rasmi kutoka kwa viongozi mbali mbali huku sababu kuu ya mgogoro baina yao zikibainika.


Leave a Comment