Ghasia zakumba uteuzi wa Jubilee
Published on: December 14, 2016 08:31 (EAT)
Audio By Vocalize
Mchakato wa kuwachagua wanachama watakaompigia debe rais Kenyatta na naibu wake mwakani unaonekana kuzua suitafahamu katika maeneo mbalimbali nchini. Na kama anavyotupasha mwanahabari wetu, Salim Swaleh, matukio hayo ya fujo sasa yanaonekana kuwapiga mshipa vigogo wa juu wa Jubilee.


Leave a Comment