Madaktari na Hospitali ya Kenyatta wavutana
Published on: March 17, 2017 08:35 (EAT)
Audio By Vocalize
Vuta nikuvuta inazidi kusheheni katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta huku madaktari wakiendelea na mgomo. Madaktari hao ambao wanasisitiza hospitali ya Kenyatta itie saini mkataba wa kurejea kazini kama mahospitali mengine zote nchini, afisa mkuu wa KNH Lilly Koros anasema kuwa bodi ya usimamizi wa hospitali hiyo haiwezi kufanya hivyo kwasababu knh haina mkataba wowote unaokitambua chama cha madaktari.


Leave a Comment