Mbwembwe za Madaraka
Published on: June 01, 2017 09:03 (EAT)
Audio By Vocalize
Huku taifa likiadhimisha Madaraka ya hamsini na nne kwa mara ya kwanza sherehe hizo ziliadhimshwa kaunti ya Nyeri na mbwembwe za aina yake huku kila aliepata fursa ya kutumbuiza akisisitiza uwepo wa amani haswa ikizingatiwa kwamba wakati wa uchaguzi mkuu unakaribia.


Leave a Comment