Wavulana wengi wamepita kuliko wasichana
Published on: December 20, 2017 08:12 (EAT)
Audio By Vocalize
Idadi ya wanafunzi waliohitimu kujiunga na vyuo vikuu imeendelea kupungua katika mtihani wa KCSE wa mwaka huu sasa ikiwa elfu sabini pekee. Hii ni kulingana na matokeo yaliyotolewa na waziri wa elimu Fred Matiang’i yakionyesha ni wanafunzi 142 pekee walionyakua alama ya kipekee ya “A”.


Leave a Comment